Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Polisi wamshikilia aliyekuwa RC Simiyu kwa tuhuma za ulawiti

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda.

Mwanza. Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC) Dk Yahya Nawanda kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa Chuo Kikuu kimojawapo jijini Mwanza.

Taarifa ya kukamatwa kwa Dk Nawanda imetolewa leo Alhamisi Juni 13,2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa.

Kwa mujibu wa Kamanda Mutafungwa, Jeshi hilo linaendelea kumshikilia Dk Nawanda kwa mahojiano kuhusiana na tuhuma hizo huku uchunguzi wa kina ukiendelea kuhusiana vielelezo vya tukio hilo.


Endelea kufuatilia Mwananchi kwa habari zaidi.