Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

‘Earphone’ janga jipya la usikivu

Mkazi wa Dar es salaam akitumia earphone kusikiliza muziki katika simu yake ya mkonono.Picha na Erick Boniphace

Muktasari:

Madaktari wametoa kauli hiyo huku ikiwa imepita siku moja tangu mataifa mbalimbali, ikiwamo Tanzania yakiadhimisha siku ya usikivu.

Dar es Salaam. Vijana wako kwenye hatari kubwa ya kupoteza uwezo wa kusikia na kupata uziwi.

Madaktari wametoa kauli hiyo huku ikiwa imepita siku moja tangu mataifa mbalimbali, ikiwamo Tanzania yakiadhimisha siku ya usikivu.

Wataalamu hao wametaja baadhi ya sababu zinazochangia kutokea kwa hali hiyo ni vijana kufanya shughuli za kiuchumi maeneo yenye kelele, kusikiliza muziki kwa sauti ya juu, matumizi ya ‘earphones’ pamoja na kutembelea maeneo yenye kelele.

Habari kamili jipatie nakala yako ya Mwananchi leo Alhamisi Machi 04, 2021