Watoto wachanga hatarini kupata usugu wa vimelea dhidi ya dawa Wakati ugonjwa wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa (Uvida) ukitabiriwa kuongoza kwa vifo duniani ifikapo mwaka 2050, watoto wachanga chini ya mwezi mmoja na wale njiti wanatajwa kuwa miongoni mwa...
Necta yatoa onyo mtihani kidato cha nne kesho Wakati watahiniwa 557,731 kesho Jumatatu Novemba 11, 2024 wataanza mtihani wa kuhitimu kidato cha nne, Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), limeonya watakaohujumu mtihani huo, kuwa litawachukulia...
PRIME Simulizi ya Kanali Kipingu alivyomuoa mtoto wa ‘mwenye nyumba’ Wakati huo hakuwa na nyumba wala gari, alikwenda kama alivyo na kueleza hisia zake kwa binti wa mwenye nyumba na kumuomba akubali kumuoa.
PRIME Biashara vyuma chakavu na plastiki, chaka la uhalifu Uanzishaji wa viwanda vya kurejeleza vyuma na kutengeneza bidhaa mbalimbali zikiwamo nondo, umeongeza mahitaji ya chuma chakavu mitaani.
PRIME Ushindi wa Trump una tafsiri nyingi kwa Afrika Wamarekani wameonekana kuvutiwa zaidi na sera ya Trump ya tangu uchaguzi wa mwaka 2016 ya MAGA -Make America Great Again (ikimaanisha kurejesha ukuu wa Marekani duniani), suala ambalo ni kilio...
Wananchi wataja sababu, vikwazo kutumia nishati safi ya kupikia Wasifu wa Msingi wa Idadi ya Watu na Hali ya Kiuchumi wa Tanzania wa Mwaka 2022 ulionyesha zaidi ya kaya nne kati ya tano nchini (asilimia 81.6) zinategemea mkaa na kuni, kama chanzo cha nishati...
Changamoto kukomesha biashara ya kuni, mkaa Bashiru anasema kwa siku anazalisha kati ya gunia 10 mpaka 15 ya mkaa anayouza Sh2,000 hadi Sh7,000. Anasema iwapo atapata ajira hata ya muda kwenye maeneo yao, yeye na wenzake wapo tayari kuacha...
'Steve Nyerere' atoa kauli kuhusu kutumia jina la Baba wa Taifa Mara nyingi kwenye kiwanda cha burudani jina la msanii linaweza kuwa silaha yenye nguvu ya kumfanya aweze kufahamika kwa kiasi kikubwa na kujizolea mashabiki.
PRIME Kutoweka bosi Dar24 kwaibua kilio Kutoweka katika mazingira ya kutatanisha kwa Mkurugenzi wa Dar24 Media, Maclean Mwaijonga kumeongeza kilio cha kuongezwa kazi ya uchunguzi wa matukio ya watu kupotea au kutekwa nchini.
PRIME Boni Yai agusia mgombea urais wa Chadema 2025 Wakati maswali yakiendelea kugonga vichwa vya watu ndani na nje ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) kuhusu nani atakuwa mgombea urais mwakani, Boniface Jacob maarufu Boni Yai amesema...