Shughuli za kibiashara zarejea Kariakoo Shughuli za kibiashara katika maeneo yanayozunguka jengo la ghorofa nne lililoporomoka Kariakoo na kusababisha vifo, majeruhi na uharibifu wa mali za mamilioni zimeanza kurejea.
Mchuano wa sera vyama vikitafuta kura za viongozi Kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa zimeendelea katika mitaa, vijiji na vitongoji kwenye mikoa mbalimbali nchini zikiongozwa na viongozi na watendaji wakuu wa vyama vya siasa
Mageuzi TPSF kuwagusa wanawake, vijana na teknolojia Dar es Salaam. Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imeweka mkazo kwenye teknolojia, vijana na kina mama ili kuhakikisha taasisi hiyo inakuwa shirikishi na kuimarisha ustawi wa wanachama wake,...
Miili tisa yahifadhiwa Amana, wengine wawili waokolewa Kariakoo Shughuli ya kuiaga miili 15 kati ya 16 ilifanyika jana Jumatatu, Uwanja wa Mnazi Mmoja ikihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa, ndugu, jamaa na marafiki
THRDC yapongeza hali ya huduma za jamii kurejeshwa Ngorongoro Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa hatua nzuri aliyoichukua ya kutuma wajumbe wake na kurejeshwa kwa huduma za kijamii kwa wananchi...
CCM wataka utaratibu msimamo wa ACT kupiga kura siku moja, Zanzibar Wakati Chama cha ACT Wazalendo kikiendelea na msimamo wake kupinga uchaguzi mkuu kufanyika siku mbili visiwani Zanzibar, Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema ni vyema chama hicho kikafuata...
Serikali yaonya uchangishaji holela michango waathirika Kariakoo Shughuli ya uokoaji inaendelea ikifanywa na vyombo vya dola kwa kushirikiana na wananchi.
Othman: Serikali ina wajibu kueleza ukweli vifo vyenye utata Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud amezifariji familia zilizopoteza vijana wao katika vifo vyenye utata, huku akizitaka kuwa na subra kwani serikali inao wajibu kutafuta ukweli...
Ghorofa laporomoka Dar, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha Hadi saa 5 asubuhi bado hakuna taarifa ya moja kwa moja juu ya athari zilizosababishwa na kuporomoka kwa jengo hilo.
Wagonjwa wenye maumivu makali kutibiwa kwa teknolojia ya tundu dogo Wagonjwa wenye maumivu ya mwili kwa muda mrefu yanayochangiwa na magonjwa mbalimbali, majeraha ya upasuaji au umri mkubwa sasa wanaweza kupata tiba katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)...