Askari Magereza wawili mbaroni wakituhumiwa kusababisha kifo Polisi Mkoa wa Mara linawashikilia askari wawili wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Emmanuel Chacha (18), mkazi wa Kijiji cha Kisangura.
PRIME Mazito wanayopitia bodaboda ‘popo’ Bodaboda wanaokesha kazini ‘popo’ ni sehemu muhimu ya mfumo wa usafiri nchini Tanzania, wakihudumia watu wanaosafiri nyakati mbalimbali ikiwamo usiku kwa sababu mbalimbali.
PRIME Adha ya mvua nchini, daraja lafungwa Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimesababisha madhara kwenye daraja wilayani Maswa mkoani Simiyu.