Kutokana na sitofahamu iliyoibuka hivi karibuni kuhusu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameibuka na kueleza chanzo cha kulegalega kwa mfuko huo.