Wabunge wametaka abiria wote waliokuwa katika ndege ya Kampuni ya Precision Air iliyopata ajali iliyotokea Novemba 6, 2022 kulipwa madai yao ya bima mapema.