Waziri Mkuu mstaafu Cleopa Msuya afariki dunia Amesema taarifa zaidi kuhusu msiba huo zitaendelea kutolewa na Serikali.
Vigogo watangaza kung’oka Chadema, wakidai kinaendeshwa bila kufuata katiba Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanaounda kundi la G55 wamekutana leo Jumatano, Mei 7, 2025 wametangaza kuondoka ndani ya chama hicho kwa sababu kimeshindwa kufuata...
PRIME Hiki hapa ‘kichinjio’ kwa watia nia CCM Unaweza kuwafananisha baadhi ya makada wanaowania ubunge na udiwani kama mnyama wa mwituni anayefahamika kama nyumbu, kwamba anaona kabisa mwenzake aliyeingia mtoni analiwa na mamba, lakini na...