Tanzania imepata mkopo wa Sh310 bilioni kutoka Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini kwa ajili ya upanuzi wa mfumo wa utambuzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na uendelezaji na utunzaji wa mfumo wa taarifa za ardhi.