Chadema yamlima barua Mchome, yamtaka ajieleze ndani ya siku 14 Katika barua hiyo, Lema amemuonya Mchome kwamba kutopeleka majibu kwa wakati hakutazuia Baraza kutumia mamlaka yake dhidi yake.
Rais Samia afanya uteuzi, Matinyi apelekwa Sweden Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa nafasi mbalimbali pamoja na kupangia vituo vya kazi mabalozi ambapo Balozi Mobhare Matinyi amepangiwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden.
PRIME Chadema yamjibu Msajili sakata la Mchome Utaratibu alioutaja Mnyika ni uliotajwa katika katiba ya chama hicho, Ibara ya 6.2;2 (a), inayotaja kuwa akidi ya wajumbe wa mkutano huo iwe asilimia 50.