PRIME Huyu ndiye fundi nguo aliyeshona vazi la Papa Leo XIV Mavazi hayo matatu meupe (kanzu) yakiendana na mengine ya hariri na dhahabu, yalikuwa tayari wakati moshi mweupe ulipotoa ishara kwamba mrithi wa Papa Francis aliyefariki dunia Aprili 21, 2025...
Wenje: Nitasimama na Chadema, sina mpango wa kuhama Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Ziwa Victoria, Ezekiah Wenje amesema hawezi kuhama chama hicho akisisitiza bado anaamini katika nguvu ya chama hicho kuleta mabadiliko ya kweli nchini licha ya...
PRIME Bado Chadema hakujapoa, makada wengine wajivua uanachama Ni maji na mafuta kwa sababu kuna uwiano wa ushawishi na nguvu ya kisiasa waliyonayo kati ya wale wanaotangaza kukihama chama hicho na wale wanaendelea kusalia.