Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameruhusu mabasi yanayofanya safari za mikoani na nje ya nchi kupakia abiria katika vituo binafsi kwa sharti kwamba lazima yaingie katika Kituo cha Mabasi cha Kimataifa Magufuli.