'Serikali haipangiwi tarehe, ipo imara muda wote na maeneo yote' Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema nchi itaendelea kuwa salama, akisisitiza Serikali haipangiwi tarehe, iko tayari na imara wakati wote na katika maeneo yote.