CCM yapangua ratiba uchukuaji fomu ubunge, uwakilishi na udiwani Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza mabadiliko ya ratiba ya uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuomba kuwania udiwani, uwakilishi na ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.
PRIME Wanawake wanaopenda kubusu ndevu hatarini Busu kwenye ndevu zisizo safi husababisha maambukizi ya ngozi kwa wanawake, hasa kwenye midomo, mashavu, au maeneo ya karibu
PRIME Ukiziona ishara hizi kapime, ni dalili za magonjwa ya ngono Mtaalamu wa Afya ya Jamii, Dk Ali Mzige anasema kuna dalili kadhaa zinazoashiria mtu amepata au anaishi na maambukizi ya ugonjwa mmojawapo wa ngono.