Katibu wa Chadema Kilimanjaro asimamishwa, mwenyewe aeleza mwanzo mwisho
Lema anatajwa kuwa miongoni mwa viongozi waliohudumu kwa muda mrefu katika wadhifa huo, akihudumu kuanzia mwaka 2009 na chini ya uongozi wake, chama hicho kilifanya vizuri mkoani humo uchaguzi...