PRIME Gambo achutama, aomba radhi bungeni Gambo amesema katika kipindi cha asubuhi ulitokea aliouita mtifuano ambao hakutaja nini maana yake.
PRIME Gambo, Mchengerwa hapatoshi bungeni Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameagiza kamati ianze kufuatilia kuanzia leo Jumatano, Aprili 23, 2025 hadi wiki ijayo taarifa itolewe ndani ya Bunge.
Polisi yakana kumshikilia Heche, Chadema wamsaka Kulingana na Golugwa wakati anakamatwa maeneo ya Mkunguni, alipakizwa kwenye gari lakini walipokaribia maeneo ya Polisi Central walimbadilisha na kumpandisha kwenye gari lingine.