Mwandishi wa gazeti la Mwananchi linalochapishwa na kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL) inayochapisha pia magazeti ya The Citizen na Mwanaspoti
Wrote articles
Connect with Tatu Mohamed:
Tatu Mohamed ni Mwandishi wa gazeti la Mwananchi linalochapishwa na kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL) inayochapisha pia magazeti ya The Citizen na Mwanaspoti
Anaandikia kutoka Mkoa wa Dar es Salaam na amejikita katika kuandika habari za kijamii, kiuchumi na kisiasa.
Ana Stashahada ya Uandishi wa Habari
Kabla ya kujiunga na MCL alifanya kazi gazeti la TanzaniaDaima.