Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya, Dk William Samoei Ruto, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 10, 2022
Photo: 1/2
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya, Dk William Samoei Ruto wakati walipokuwa wanazungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Oktoba 10, 2022