Picha Ziara ya Rais Samia mkoani Geita Jumamosi, Oktoba 15, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Katoro mkoani Geita wakati alipowasili mkoani humo kufanya ziara ya kikazi ya siku moja leo Jumamosi Oktoba 15, 2022. Photo: 1/1 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
Barabara Kuu Moshi-KIA yafungwa Madereva na watumiaji wa barabara wanaombwa kuwa wavumilivu wakati wa kipindi cha matengenezo na kufuata maelekezo ili kuepuka usumbufu.
Balozi Mwapachu afariki dunia, January amlilia Katika uhai wake wa kisiasa, Balozi Mwapachu alikuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Hata hivyo, mwaka 2015 alijiondoa kwa muda, kisha 2016 akaomba kurejea tena.
PRIME Mvua zazua kizaazaa Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeanza kuleta athari, huku wananchi wanaoishi maeneo hatarishi wakiaswa kuhama.