Picha Ukame wasotesha wananchi Monduli wakisaka maji Jumatatu, Oktoba 24, 2022 Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Misimingori wakiwa kwenye foleni kupata mgawo wa maji wa ndoo mbili kila kaya kupunguza makali ya uhaba wa maji wanayokabiliana nayo iliyosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi. Picha na Bertha Ismail Photo: 1/1 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Fursa mpya, vilio mgawanyo wa majimbo Uamuzi huo wa INEC, kwa mujibu wa wadau wa siasa, una pande tamu na chungu kwa wabunge wa sasa wenye nia ya kuendelea kugombea nafasi hizo.
Haya hapa majimbo mapya ya uchaguzi, yamo Chamazi na Chato Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji wa Rufaa, Jacobs Mwambegele amesema walipokea jumla ya maombi 34 ya kugawanywa kwa majimbo na 10 ya kubadili majina ya majimbo.
PRIME Zijue amri 10 za kuwa tajiri Amri hizi si tu kuhusu kujikusanyia utajiri, bali kujenga uhusiano mzuri na fedha, kuhakikisha usalama wa kifedha, na kuacha urithi kwa vizazi vijavyo.