Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais mstaafu, Jakaya Kikwete akimtunuku Shahada ya Udaktari wa Falsafa wa Heshima ikiwa ni Shahada ya Udaktari wa Juu katika Humanitia na Sayansi Jamii leo Jumatano, katika mahafali ya 52 ya chuo hicho yaliyofanyika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.