Rais Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi kwenye hafla ya uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 Toleo la 2023 na mfumo wa e-Ardhi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete, Dodoma Machi 17, 2025.