Picha Ndege mpya ya mizigo yatua Tanzania Jumamosi, Juni 03, 2023 Ndege mpya ya Mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL ikiwasili nchini kwa mara ya kwanza katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Juni 03,2023. Photo: 1/3 View caption Photo: 2/3 View caption Photo: 3/3 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Kauli ya atabadilika inavyowaponza wanandoa Baadhi ya watu wanapoingia katika uhusiano, huamini wanaweza kubadili zile tabia hasi ambazo wamezikuta kwa wenza wao.
PRIME Samia atua zigo nafasi ya Jaji Mkuu Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hana dhamira ya kugombana na majaji, hivyo amedhamiria kumuacha Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma aliyebakiza miezi michache, aende kupumzika.
Chadema hapajapoa, Lissu atengua uteuzi wa Catherine Ruge Alipoulizwa kama amepewa barua ya uamuzi huo, Ruge amesema, “nilishapewa barua ya kutenguliwa nafasi hii muda kidogo umepita,” amesema Ruge