Viongozi mbalimbali wa Serikali, mkoa, wabunge pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM) wakikata na kulishana keki wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Mkoa wa Singida yaliyofanyika katika uwanja wa Bombadia Jumatatu Oktoba 16, 2023. Maadhimisho hayo yamehudhuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan.