Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Albert Chalamila akizungumza na waandishi wa habari na wafanyabiashara wa Kariakoo katika uzinduzi wa ufanyaji biashara saa 24.
Photo: 1/4
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akifanya manunuzi katika moja ya duka Kariakoo.
Photo: 2/4
Photo: 3/4
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila (mwenye kanzu) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, wakipita katika baadhi ya maduka yaliyopo eneo la Kariakoo.