Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla ameungana na Wazanzibari wengine katika dua maalum ya hitima ya Alhaji Marehemu Mzee Omary Rashidi Mchengerwa ambaye ni Baba Mzazi wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa.