Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi akizungumza alipokuwa akifanyiwa mahojiano ya ana kwa ana na Mkurugezi Mtendaji wa Mwananchi Communications Ltd, Bakari Machumu wakati wa Jukwaa la Fikra linaloangazia mafanikio, fursa na changamoto katika miaka 3 ya uongozi wa Rais Mwinyi, lililofanyika leo Jumanne Oktoba 31, 2023 katika Hoteli ya Golden Tulip zanzibar. Picha na Edwin Mjwahuzi