Mwanaume aliyetambulika kwa jina la Michael Haight (42) amewaua watu saba wa familia yake kisha kujiua kwa risasi baada ya mkewe kudai talaka katika mji wa Enoch huko Marekani.
Michael amemuua mkewe Tausha (40), mama mkwe Gail Earl (78) na watoto wake watano kabla ya kujiua.
Watoto hao ambao hawakutajwa majina ni wasichana watatu wenye miaka, 17, 12 na 7, na wawili wa kiume wenye umri wa miaka 7 na 4.