Picha Miaka 30 ya IGP Mstaafu Sirro yaitimishwa rasmi Jumatano, Mei 10, 2023 Makamishna wa polisi wakisukuma gari la IGP Mstaafu Sirro wakati wa sherehe ya kumuaga Mei 10, 2023 kwenye viwanja vya chuo cha mafunzo cha polisi Kurasini. Photo: 1/3 View caption Photo: 2/3 View caption Photo: 3/3 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
Haya hapa matokeo ya kidato cha sita 2025 Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika Mei 5 hadi 26, 2025. Matokeo hayo yametangazwa leo Jumatatu, Julai 7, 2025 visiwani Zanzibar na...
PRIME Bomu la nyaya katika majengo Mbali ya Kariakoo kuwa eneo lenye msongamano wa watu na vyombo vya moto kutokana na biashara zinazofanyika, kuna utandazaji holela wa nyaya zikiwamo za umeme, hali inayotishia usalama.
71 wafutiwa matokeo kidato cha sita, ualimu, 244 yazuiliwa Akitangaza matokeo hayo leo Julai 5, 2025 katika ofisi za baraza hilo Zanzibar, Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Profesa Said Mohamed amesema matokeo hayo yamefutwa kwa mujibu wa kifungu cha 5(2)...