SportPesa inavyousogeza ushindi karibu na mteja wake

Krismasi imeshaisha lakini msimu wa sikukuu bado upo! Kile kinachosubiriwa na wengi ni kuuona mwaka mpya kama majaaliwa yake Mungu yatatimia.
Ni kipindi cha watu kuendelea kufurahia na familia, ndugu, jamaa na marafiki zao baada ya kutokuwa karibu kwa kipindi kirefu. Na hisia hizi ndizo zinazofanya sikukuu zisizoeleke kila mwaka.
Msimu huu watu bado wana akiba ya fedha kwa ajili ya kukonga nyoyo zao na ngumu kuwapimia furaha zao na wengine huziweka kwa mahitaji ya Januari.
Wakati akiba hiyo ikiendelea kusaidia kumaliza msimu wa sikukuu kwa uzoefu wa aina yake tofauti na miezi mingine, SportPesa, kampuni kinara wa michezo ya ubashiri mitandaoni inakutaka kutokumaliza akiba yako kwani “ushindi upo nawe” kwa kukuletea fursa ya kupiga mkwanja nyumbani kwako.
Katika kipindi hiki ambacho watu wengi hutulia na familia zao majumbani, SportPesa imeleta ofa ya kubashiri michezo mitatu au zaidi na kushinda bonasi ya zaidi ya asilimia 1000 ya dau lako. Nani anakupa zaidi ya asilimia 1000 katika ubashiri?
SportPesa imekuwa ikibuni kila uchwao fursa mpya za kumfaidisha mteja wake katika vipindi mbalimbali ili kumpa ahueni ya maisha pale ambapo magumu yanakuwa yapo upande wake na kumuongezea raha katika nyakati za furaha.
Iko hivi! Ingia katika tovuti ya SportPesa ya www.sportpesa.co.tz na chagua timu zako kadhaa na ubeti kuanzia mechi tatu au zaidi na ushinde kwa bonasi ya asilimia 1000 ya dau lako. Ukishinda mkwanja wako unaupata papo hapo bila ya shida yoyote. #SportPesaUshindiUpoNawe#