Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Chadema walivyotinga kwa Msajili kujadili ‘No reform, No election’

Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiongozwa na Katibu Mkuu, John Mnyika wakiwasili katika ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo Jumanne Machi 18, 2025 Jijini Dar es Salaam. Picha na Michael Matemanga

Dar es Salaam. Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiongozwa na Katibu Mkuu, John Mnyika wakiwasili katika ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo Jumanne Machi 18, 2025 kuitikia wito wake.

Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiongozwa na Katibu Mkuu, John Mnyika wakiwasili katika ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo Jumanne Machi 18, 2025 Jijini Dar es Salaam. Picha na Michael Matemanga

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na chama hicho jana Machi 17, 2025 ilieleza kuwa ajenda kuu waliyoitiwa ni kaulimbiu yao ya ‘No Reform, No Election.’

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika wakati akiwasili katika ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo Jumanne Machi 18, 2025 jijini Dar es Salaam. Picha na Michael Matemanga

Chadema ilitangaza kampeni ya No Reform, No Election (Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi) ikilenga kushinikiza mabadiliko ya kisheria kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu.


Endelea kufuatilia Mwananchi.