Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Shule za Dar zashika mkia matokeo ya kidato cha nne

Muktasari:

  • Katika shule 10 za mwisho kitaifa Dar es Salaam imeingiza shule sita ambazo ni Kitonga, Nyeburu, Mbopo, Mbondole, Somangila Day na Kidete. Shule nyingine ni Masaki iliyoko mkoani Pwani, Dahani iliyoko mkoani Kilimanjaro, Ruponda mkoani Lindi na Makiba mkoani Arusha.

Dar es Salaam. Mkoa wa Dar es Salaam umeshika mkia katika shule kumi za mwisho kwenye matokeo ya kidato cha nne kitaifa yaliyotangazwa leo jijini Dar es Salaam.

Katika shule 10 za mwisho kitaifa Dar es Salaam imeingiza shule sita ambazo ni Kitonga, Nyeburu, Mbopo, Mbondole, Somangila Day na Kidete. Shule nyingine ni Masaki iliyoko mkoani Pwani, Dahani iliyoko mkoani Kilimanjaro, Ruponda mkoani Lindi na Makiba mkoani Arusha.

Matokeo hayo yametangazwa leo na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani(Necta), Dk Charles Msonde.