Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

LIVE: Ibada ya kumuga Kardinali Pengo St Joseph

Waombolezaji wakiaga mwili wa Askofu Mkuu mstaafu wa Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, leo Februari 27, 2026, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosef jijini Dar es Salaam.

Dar es Salaam. Waombolezaji na waumini, waliojitokeza katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu kwa ajili ya kuuga ‎mwili wa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, leo Februari 27, 2026.

Wananchi wakiaga mwili wa Kardinali Pengo kanisani

Kardinali Pengo alifariki dunia Februari 19, 2026, katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI).

‎Misa ya kuuaga itaanza saa 10:00 jioni katika kanisa hilo.

‎Mwili huo unatarajiwa kuzikwa ndani ya Kanisa la Hija ya Bikira Maria, Pugu kesho Februari 28, 2026 na misa ya mazishi itaanzia saa 4:00 asubuhi.