Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Askofu Maluma afariki dunia

Askofu Maluma afariki dunia

Muktasari:

 Askofu wa Jimbo Katoliki Njombe, Alfred Maluma amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikokuwa akipatiwa matibabu.

Njombe.  Askofu wa Jimbo Katoliki Njombe, Alfred Maluma amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikokuwa akipatiwa matibabu.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Padri Justin Sapula wa jimbo hilo leo Jumanne Aprili 6, 2021 akieleza kuwa kimetokea usiku wa kuamkia leo saa 6:40 usiku katika hospitali hiyo.

Katika tangazo lake la kifo, Padri Sapula amesema taratibu za mazishi zinaendelea kufanyika, “astarehe kwa amani baba mhashamu Alfred Leonhard Maluma.”