Wagombea CCM walivyopita chujio uchaguzi wa 1980 Kamati ya shughuli za Tanu ilikutana mjini Dar es Salaam Septemba 2, 1980 kwa ajili ya kutayarisha mambo yatakayofikishwa mbele ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM iliyokutana Septemba 8 na 9.
Dodoma Jiji FC yakomba wachezaji Azam, Lipuli, Alliance Dodoma Jiji FC imefunga usajili kwa kusajili wachezaji nane wakiwemo wa kutoka Azam, Lipuli, Alliance huku ikiwatema saba katika dirisha dogo la usajili lililofungwa usiku wa kuamkia leo Alhamisi.
Tanzania yajiweka pazuri tenisi Afrika Timu ya wasichana wa umri chini ya miaka 14 wa Tanzania, imeifunga Comoro katika mashindano ya Afrika Mashariki na Kati yanayoendelea kwenye viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam.
Miraji kumrejesha Okwi Msimbazi? PALE Msimbazi kulikuwa na mfalme mmoja tu. Emmanuel Arnold Okwi. Alifanya alivyotaka na hakukuwepo mtu wa kumchulia hatua za kinidhamu.
Walioingia na kutoka timu Ligi Kuu Zimebaki wiki chache kabla ya kufunguliwa kwa msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2019/2020 huku idadi kubwa ya timu zikiwa katika maandalizi.
Simba yaikalia kooni Yanga Simba imezidi kupunguza pengo la idadi ya pointi baina yake na Yanga ambao wanaongoza msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya jana kupata pointi tatu dhidi ya Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine,...
Simba yaishusha Azam Ligi Kuu Mabao ya Emmanuel Okwi na John Bocco yalitosha kuipandisha Simba hadi nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara huku ikifikisha penalti nne katika mechi tano.
Chama aeleza ushindani wa namba Taifa Stars - 3 Katika matoleo mawili mawili yaliyopita tulitazama maisha ya nyota wa zamani wa Yanga, Majimaji, Ndovu FC na Pamba, Rashid Idd ‘Chama’. Tunaendelea na simulizi ya mwisho namna beki huyo...
Uchimbaji madini tishio linalohatarisha uhai wa hifadhi za Manyara, Tarangire Sekta ya utalii inaongoza nchini kwa kuingiza fedha za kigeni. Katika pato la taifa mchango wa sekta ya utalii ni zaidi ya asilimia 18.
Bogoss kuisindikiza Sikinde miaka 40 ya kuzaliwa Sherehe hiyo inatarajiwa kufanyika viwanja vya Bandari Tandika jijini Dar es Salaam