Mara bado wakabiliwa na changamoto ya nishati chafu ya kupikia Imeelezwa kuwa, asilimia 90 ya wakazi wa Mkoa wa Mara wanatumia nishati isiyokuwa safi na salama kwa kupikia.
Machumu awafunda wahitimu wa uandishi wa habari Moja ya mbinu alizozitaja mkurugenzi huyo ni pamoja na kuwa tayari kujifunza na kubadilika kulingana na ulimwengu wa sasa unavyotaka kwani teknolojia imebadilika.
Wafanyabiashara waingia hofu ya kupoteza mizigo Kariakoo Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyabiashara wenye mizigo iliyokuwa kwenye ghorofa lililoporomoka Mtaa wa Mchikichi na Congo, Kariakoo wameingia hofu ya kupoteza mali zao. Hata hivyo, Katibu Tawala...
PRIME Mitazamo tofauti uchaguzi serikali za mitaa Uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji uliofanyika juzi umewaibua wadau mbalimbali – vyama vya siasa, Kanisa Katoliki na wengine wakiwa na maoni tofauti kuhusu mchakato huo.
Mvua yatajwa kuharibu orodha ya wapigakura Mwanza, wahaha kupiga kura Vituo vingine ambavyo Mwananchi imefika na kubaini uwepo wa malalamiko ya majina kutoonekana huku wengine wakisema karatasi zimechanwa na mvua, ni Kabambo Kata ya Kiseke na Kitangiri wilayani...
Upigaji kura waendelea katikati ya malalamiko ya majina kutoonekana, kutopangiliwa upigaji kura wanatoa kipaumbele kwa makundi maalumu ikiwemo wazee, walemavu na wasiojua kusoma na kuandika. "Wasimamizi wasaidizi walipewa mafunzo maalumu ya kuwasaidia watu wa...
PRIME Watanzania kutoa hukumu uchaguzi serikali za mitaa Baada ya pilikapilika za kampeni kesho Watanzania watafanya uamuzi wa kuwachagua viongozi wa mitaa, vijiji na vitongoji watakaohudumu kwa miaka mitano ijayo.
UTPC yazindua siku 16 za kupinga ukatili huku ikitahadharisha Waandishi wa habari wa mkoa wa Manyara na wadau wa habari, wakiwa kwenye uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto yaliyofanyika mjini Babati. Picha na Joseph...
Watoto 11,043 kurejeshwa shuleni Songwe Serikali mkoani hapa kwa kushirikiana na wadau wa elimu, imezindua kampeni maalumu yenye lengo la kuandikisha na kuwarejesha shuleni watoto 11,043 waliokuwa nje ya mfumo wa elimu.
Polisi wamng’ang’ania Mdude, wataja sababu Jana, Novemba 22, 2024, Mdude na viongozi wa Chadema, walikamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe, kwa madai ya kutaka kufanya kampeni eneo lisilostahili, ikiwa ni kinyume na kanuni na...