Mwinyi amjibu Othman tuhuma za ufisadi, deni la Taifa
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amejibu tuhuma zilizotolewa na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman kuhusu ufisadi na ongezeko la deni la taifa lisiloendana na kazi zinazofanyika.