Mtukufu Aga Khan IV afariki dunia Kiongozi Mkuu wa 49 wa Madhehebu ya Shia Ismailia na mwanzilishi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN), Mtukufu Aga Khan, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88.
PRIME Athari za kiafya maduka ya chini ya ghorofa Kariakoo Maduka ya chini ya majengo ya ghorofa (underground) yanayozunguka Soko la Kariakoo yanaweza kuleta changamoto mbalimbali za kiafya na kiusalama kwa wauzaji na wateja.
Rais Samia, Ruto, Guterres, Trudeau wamlilia Mtukufu Aga Khan Kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninatoa salamu za pole kwa familia ya mwana mfalme Aga Khan, Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan na Jumuiya ya Waislamu wa Ismailia.