Tanzania kuzuia uingizwaji wa mazao kutoka Malawi, Afrika Kusini Serikali ya Tanzania imesema itazuia uingizaji wa mazao na bidhaa za kilimo kutoka nchi za Malawi na Afrika Kusini kuanzia Jumatano Aprili 23, 2025 endapo vikwazo kwa Tanzania miongoni mwa nchi...
Chadema waburuzana mahakamani, kesi kuanza leo Wamefungua kesi hiyo Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chadema, ikiwa mdaiwa wa kwanza na Katibu Mkuu wa Chadema ni mdaiwa wa pili.
Watu 50 wafariki DRC boti ikiwaka moto, chanzo ni abiria aliyewasha jiko kupika Boti iliyokuwa na abiria zaidi ya 450 imezama baada ya kuwaka moto katika eneo la Kaskazini Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kuua watu 50, huku mamia wengine wakiwa...