Chuma cha Chuma ahukumiwa miaka mitatu jela, faini Sh500,000
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu raia wa Burundi, Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu ‘Chuma cha Chuma’, kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa faini ya Sh500,000 baada ya...