Vilio, simanzi majibu DNA mama aliyedai kubadilishiwa mtoto Mount Meru
Simanzi na vilio vimeibuka nje ya Kituo Kikuu cha Polisi Arusha, baada ya majibu ya vinasaba (DNA) kutolewa na kuonyesha kuwa mkazi wa Mtaa wa Ndarvoi, Kata ya Daraja Mbili, Neema Kilugala (26)...