Miaka minne ya Magufuli kaburini, Chato kumkumbuka leo Jumatano ya Machi 17, 2021, Tanzania iligubikwa na wingu zito la kumpoteza Rais aliyekuwa madarakani, Dk John Pombe Magufuli maarufu JPM.
Walioitwa kwenye usaili BoT hawa hapa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa majina ya waliopita katika usaili wa maandishi, huku ikiwaita katika usaili wa mahojiano na vitendo kwa baadhi ya kada.
PRIME Wanaume wanaolia balaa kwa mapenzi Mwanaume akizungumza jambo huku akitoa machozi ujue anamaanisha kwa sababu ni jinsi ya watu wagumu kuonyesha hisia zao iwe ya furaha au huzuni