PRIME Mawakili wa Lissu waibua madai mapya Lissu alifikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka yanayomkabili Aprili 10, 2025. Kwa sasa, kesi hizo zinaendelea kwa njia ya mtandao, mshtakiwa akiwa mahabusu katika Gereza la Ukonga.
Serikali yaagiza aliyeandika ‘siku za Kitima zinahesabika’ atafutwe Mpaka sasa, Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamshikilia Rauli Mahabi kwa tuhuma za kumjeruhi Padri Kitima.
JWTZ yatangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa wenye fani hizi... Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya sekondari hadi elimu ya juu.