Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (katika) akikata utepe kuzindua Kanisa la Waadventista wa Sabato (SDA) la Musati, Musoma mkoani Mara jana. Wa kwanza kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Rhimo Nyansaho (wa pili kushoto).