Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) , Stephen Wasira, akisaini kitabu cha maombolezo cha kifo cha Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, leo Ijumaa, Februari 27, 2026 katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, jijini Dar es Salaam.