Waumini wa dini wa Kiislamu wakiwa kwenye swala ya Eid Al Adha leo Jumatano Mei 27, 2027 katika Msikiti wa Ijumaa, Barabara ya Kumi jijini Tanga. Picha na Mbonea Herman
Photo: 1/10
Waumini wa dini ya Kiislamu mkoani Iringa leo Jumatano Mei 27, 2026 wameshiriki swala ya Eid Al Adha katika Msikiti wa Masjid Faraj, uliopo Miyomboni mkoani Iringa. Picha na Mtandao.
Photo: 2/10
Waumini wa dini ya Kiislamu mkoani Iringa leo Jumatano Mei 27, 2026 wameshiriki swala ya Eid Al Adha katika Msikiti wa Masjid Faraj, uliopo Miyomboni mkoani Iringa. Picha na Mtandao.
Photo: 3/10
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk Batilda Burhan wakanza kushoto akiwa na waumimi wa dini ya kiislam wakati wa swala ya Eid Al Adha katika msikiti wa Ijumaa barabara ya kumi jijini Tanga.
Photo: 4/10
Sheik wa Mkoa wa Pwani, Khamis Mtupa akiwaongoza waumini wa dini ya Kiislamu katika Msikiti wa Mwanalugali, Kibaha mkoani Pwani leo Jumatano Mei 27, 2026 wakati wa swala ya Eid Al Adha. Picha na Sanjito Msafiri
Photo: 5/10
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi na viongozi wengine wa kitaifa wa dini na Serikali wakishiriki swala ya Eid iliyofanyika kitaifa leo Jumatano Me27, 2027 katika msikiti wa Ole Kianga Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
Photo: 6/10
Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu mkoani Mbeya wakiwa katika swala ya Eid Al Adha iliyofanyika leo Jumatano Mei 27, 2026 katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Picha na Sadam Sadick
Photo: 7/10
Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu mkoani Mbeya wakiwa katika swala ya Eid Al Adha iliyofanyika leo Jumatano Mei 27, 2026 katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Picha na Sadam Sadick
Photo: 8/10
Photo: 9/10
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi akishiriki swala ya Eid iliyofanyika kitaifa leo Jumatano Me27, 2027 katika msikiti wa Ole Kianga Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.