Sherehe za kuhitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi
Matukio ya sherehe za kuhitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi, katika Chuo cha Taaluma ya Polisi, yaliyofanyika leo 28, 2026 Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Photo: 1/8
Photo: 2/8
Photo: 3/8
Photo: 4/8
Photo: 5/8
Photo: 6/8
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camilius Wambura akiwa katika hafla ya kuhitimisha Mafunzo ya Maofisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi iliyofanyika Kurasini jijini Dar es Salaam.