Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga leo Desemba 15, 2025, kufungua rasmi mkutano wa tisa wa wakuu wa majeshi ya ulinzi na makamanda. Picha na Ikulu