Rais Samia akutana na viongozi wa ulinzi, JKT Ikulu ndogo ya Tunguu
Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar, leo Januari 6, 2026.