Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni alivyowasili Tanzania leo Ijumaa, Februari 7, 2026, kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Kiongozi huyo amewasili na kupokewa na mwenyeji wake wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Photo: 1/5
Photo: 2/5
Photo: 3/5
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam, leo Februari 7, 2026.
Photo: 4/5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake, Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Museveni baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Februari 7, 2026.